Social Icons

Thursday, 10 October 2013

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE LAFANYIKA.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakasangula akifungua kikao cha baraza la halmashauri hiyo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Gwabo Mwansasu akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kufungua mkutano wa Baraza.

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Ezekiel Mwakota akisisitiza jambo wakati wa kikao cha baraza.

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Crispin Meela akiwasilisha taarifa ya Serikali katika baraza hilo.

        Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika kikao cha baraza.

Wakuu wa idara na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa kwenye kikao

Waheshimiwa Madiwani Mhe. Rephson Mwaisupule kutoka kata ya Masukulu na Mhe. Charles Mwakalinga wa Ikuti wakifuatilia kwa makini kikao cha baraza la Madiwani.

Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndg. Sawaki akitoa maelezo kwa baraza kuhusu ujenzi wa barabara unavyoendelea katika Halmashauri hiyo.


                                                        Picha na Bashiru Madodi
                                                            Basahama blogspot






No comments:

 
 
Blogger Templates