Social Icons

Friday, 11 October 2013

DR. MARY MWANJELWA ATOA KOMPYUTA KWA UWT MKOA WA MBEYA.

 Kushoto ni Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya, Lt. mstaafu Sengerema.
 Kushoto ni katibu wa UWT, Mkoa wa Mbeya, Tabu Lugweza, akimkaribisha Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa katika ofisi za UWT mkoani Mbeya zilizopo eneo la Sokomatola.
 Kulia ni Mweyekiti wa UWT, akimkaribisha ofisini, Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa.
 Mzigo huo.....
 Dr. Mary Mwanjelwa akipeana mkono na katibu wake, Tumaini Ambakisye Mwakatika.
 Dr. Mary Mwanjelwa akipeana mkono na katibu muhtasi wa UWT mkoa wa Mbeya.
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa(kushoto), akipeana mkono na Mwenyekiti wa UWT, Mkoa wa Mbeya, Pricila Mbwaga.
 
 Dr. Mary Mwanjelwa akipongezwa na Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dr. Norman Sigalla baada ya kutoa Kompyuta katika ofisi ya Umoja wa wanawake wa CCM, Mkoa wa Mbeya.
 Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dr. Norman Sigalla, akieleza jambo.....
 Juu na chini, Mbunge Dr. Mary Mwanjelwa, akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi wa UWT mkoa wa Mbeya.

Kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Mbeya, Pricila Mbwaga, akikabidhiwa kompyuta na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, yenye thamani ya Tsh.1,500,000/=

No comments:

 
 
Blogger Templates