Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe leo limefanya kikao cha kazi, kwa kupata maelezo ya shughuli za maendeleo katika kata 10, kata hizo ni Suma, Nkunga, Masebe, Kikole, Bagamoyo, Mpuguso, na Kisiba. Kata zingine ni Kisondela, Ibigi na Makandana.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakasangula akisisitiza jambo wakati wa kikao cha baraza la kazi la Halmashauri hiyo.
Madiwani wa Halmashauri ya Rungwe wakiwa katika kikao cha baraza la kazi
Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika kikao cha baraza la kazi
Watendaji wa kata mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa kwenye kikao
Mratibu wa Elimu Kata ya Nkunga Ndg. akisoma taarifa ya kazi ya kata yake huku Diwani wa Kata hiyo Mhe Abrahamu Mwanyombole akimsikiliza.
Picha na Bashiru Madodi
Basahama blog
No comments:
Post a Comment