Social Icons

Sunday, 13 October 2013

HUU NDIO UTARATIBU MPYA WA KUINGIA MLIMANI CITY BAADA YA WESTGATE KUVAMIWA JIJINI NAIROBI.

 
 Kijana akikaguliwa kwa umakini baada ya kutiliwa mashaka na walinzi wa Mlimani City leo mchana
 
 Mlinzi wa kike akiwasubilia wananwake watakaotaka kuingia kwenye jengo la mlimani city ili hawakague
Ukaguzi ukiendela


Chanzo:- issamichuzi

No comments:

 
 
Blogger Templates