Social Icons

Thursday, 14 November 2013

MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA NDUGU PHILIP MANGULA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MBEYA

Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara Ndugu. Philip Mangula akisalimiana na Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu. Bashiru Madodi, mara baada ya kuwasili katika ofisi ya CCM Mkoa wa   Mbeya.

Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara Ndugu. Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mbeya Mama Mbwaga.

Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Maganga Sengarema akisoma taarifa ya Mkoa kwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara Ndugu Philip Mangula.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi akimkaribisha Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara Ndugu Philip Mangula ili aongee na Wajumbe wa kamati ya siasa na Sekretarieti ya Mkoa

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Philip Mangula akisikiliza kwa makini hoja kutoka wa wajumbe wa kikao.

                            Wajumbe wa kikao wakiwa ukumbini tayari kwa kikao

   Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mbeya Mama Victoria Kanama akiwa katika kikao

                     Katibu wa UWT Mkoa wa Mbeya Bi. Mariamu akiwa ukumbini

Vingozi wa CCM Mkoa wa Mbeya kutoka kushoto, Katibu Mwenezi, Bashiru Madodi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Ndugu. Godfrey Zambi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka wilaya ya Kyela Mzee Mwambalaswa

Viongozi wa CCM Mkoa wa Mbeya wakibadilishana mawazo kabla ya Makamu Mwenyekiti Tanzania bara Ndugu. Philip Mangula kuwasili katika ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya

                                                  Picha zote na Bashiru Madodi
                                                            Basahama blog








No comments:

 
 
Blogger Templates