Social Icons

Thursday, 12 December 2013

UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE

Barabara ya Ndembela kwenda Kagwina inayojengwa kwa fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kwa gharama ya shilingi Milioni hamsini na sita ( 56,000,000/=)

Nyumba ya mwalimu inayojengwa katika Shule ya Msingi Bunyakasege iliyopo katika halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakasangula (wa kwanza kulia) akimsikiliza Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Bunyakasege, hayuko pichani.

Madarasa matatu yanayojengwa katika shule ya sekondari Lupoto iliyoko katika kata ya Ibighi, katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe.

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika ukaguzi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika shule ya sekondari Lupoto.

Viongozi wa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika kikao cha pamoja na uongozi wa shule ya sekondari Lupoto.


                                                 Picha na Bashiru Madodi





No comments:

 
 
Blogger Templates