Social Icons

Friday, 12 September 2014

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Abbas Kandoro awaasa Madereva na abiria

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh, Abbas Kandoro akiongea na Madereva na Abiria leo asubuhi saa kumi na moja katika kituo Kikuu cha Mabasi Mbeya
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa katika mkutano huo
Baadhi ya Madereva, Abiria na ma Agent wa mabasi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Mabasi yakianza kuondoka

Habari kamili itawajia hapo baadae

Chanzo Mbeya yetu

No comments:

 
 
Blogger Templates