Umati wa wananchi wa mkoa wa D'Salaam waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za urais za Chama Cha Mapinduzi
Bango kubwa lenye picha ya Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi likiwa katika viwanja vya Jangwani
Mgombea mwenza wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wana CCM waliofurika katika viwanja vya Jangwani.
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Benjamin Mkapa, akibadilishana mawazo na Naibu waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba
Mawaziri Wakuu wastaafu Jaji Mstaafu Mhe. Joseph Warioba na Mhe Salim Ahmed Salim wakiwasili katika viwanja vya Jangwani kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za Urais za CCM.
Umati wa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa tayari kwa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi
Chanzo. Basahama.blogspot







No comments:
Post a Comment