Social Icons

Sunday, 23 August 2015

Chama Cha Mapinduzi leo kinazindua kampeni za Urais katika viwanja vya Jangwani

Leo CCM inaanza amsha amsha ya nchi nzima ya kunadi ilani yake ya uchaguzi ambayo itawashawishi Watanzania kuichagua kwa kipindi kingine cha miaka mitano dhidi ya wapinzani wao wakubwa UKAWA.

Amsha amsha hiyo inaanzia Jijini Dar katika viwanja vya Jangwani, na baadaye kuivamia kanda ya Nyanda za juu Kusini Mikoa ya Katavi, Rukwa na Mbeya.








Chanzo. Basahama.blogspot 






No comments:

 
 
Blogger Templates