Social Icons

Wednesday 27 April 2016

Wakristo wachangia ujenzi wa msikiti Uganda

Uganda: Wakristo wafanya harambee kujenga msikiti

Wakristo wa kijiji cha Namayiga nchini Uganda wameamua kuchanga pesa kusaidia wenzao wa dini ya Kiislamu kupata mahali pa kuabudu. Hizo ni juhudi za kuleta maendeleo bila kujali tofauti za dini.

Sikiliza sauti09:45

Makala ya Emmanuel Lubega kutoka Uganda

Waumini wa Kiislamu katika msikiti wa zamani kijijini Namayiga

Waumini wa Kiislamu katika msikiti wa zamani kijijini Namayiga

Waumini ndani ya msikiti wa zamani uliochukua miaka mitano kujenga

Waumini ndani ya msikiti wa zamani uliochukua miaka mitano kujenga

Wakristo wa kijijini Namayiga walichanga pesa kusaidia ujenzi wa msikiti mpya

Wakristo wa kijijini Namayiga walichanga pesa kusaidia ujenzi wa msikiti mpya

No comments:

Blogger Templates