Social Icons

Wednesday 4 May 2016

Hali ya hewa katika mji wa Tukuyu kwa siku mbili zilizopita

Wakazi wa mji wa Tukuyu, na watoto wa mji wa Tukuyu Alen Mwakyambiki na Emani Katule wakiitafakari mvua pamoja na ukungu uliotanda mjini hapo.

Wakazi wa mji wa Tukuyu wakiendelea na shughuli zao pamoja na mvua kuendelea kunyesha kwa muda wa siku mbili mfululizo, 

Hili ni eneo la Bomani katika mji wa Tukuyu

Hii ndiyo Tukuyu tunaiweza wenyewe

Eneo la katikati la mji wa Tukuyu

Tukuyu Green City ikiwa imezingirwa na ukungu.

Karibu Tukuyu wewew ambaye hujawahi kuitembelea na wewe ambaye toka ulipoondoka imekuchukua muda mrefu bila ya kurudi.

Picha kwa hisani ya Imani Katule.

Habari na basahama.blogspot.com







No comments:

 
 
Blogger Templates