Kupatwa kwa jua kunatokea wakati mwezi unafunika jua. Tokeo lake ni kupungua kwa jua hadi kutoonekana tena na kufika kwa giza wakati wa mchana. Muda wa kufunikwa kabisa ni dakika chache tu.upatwa kwa jua
Kupatwa kwa jua kunatokea kama dunia, mwezi na jua zinakaa kwenye mstari mmoja mnyoofu
yaani wakati mwezi unapita kati ya dunia na jua. Katika hali hiyo kuna kivuli cha mwez
i kwenye uso wa dunia. Kivuli hiki hakifuniki dunia yote. Kwa hiyo kupatwa kwa jua
kunaonekana kwa watu wengi kama kupungua kwa mwanga wa jua.

Aina za kupatwa kwa jua
Kuna aina mbalimbali za kupatwa kwa jua.
- kupatwa kabisa: jua lapotea kabisa kwa dakika chache. Hali hii yaonekana kwenye kanda
- nyembamba duniani kinapopita kitovu cha kivuli.
- kupatwa kipete: mwezi huonekana mdogo kuloko jua. Kwa hiyo duara ya kung'
- aa ya jua ni kubwa kuliko duara ya mwezi na mwanga wa jua waonekana kama pete.
- kupatwa kwa jua kisehemu: Katika eneo kubwa la kivuli cha kando watu hona
- upungufu wa mwanga; kiasi chake hutegemea umbali na kitovu cha kivuli.
- Wakitazama jua kwa filta kwa mfano kioo kilichopakwa dohani katika
- moshi ya mshumaa huwa wanaona sehemu ya duara ya jua imefunikwa.
No comments:
Post a Comment