HUKU NDIKO BUNGE LETU LILIPOFIKIA..JE TUTAFIKA? SHUHUDIA TUKIO ZIMA HAPA. PIA TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA........
Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo
Kimbembe kikiendelea Bungeni hapo.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi wa Bunge walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma. hata hivyo Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai
Mbunge wa Mbeya Mjini akizuiwa na wabunge wa CHADEMA ili asipambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni.
PICHA NA MTAA KWA MTAA BLOG
No comments:
Post a Comment