Social Icons

Sunday, 1 September 2013

MHE. KANDORO WILAYANI CHUNYA.

LIVEE!!! KANDORO AWAKABILI WATENDAJI NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA CHUNYA JUU YA MATUMIZI YA FEDHA ZA HALMASHAURI

Rashid Mkwinda at Mwanafasihi Mahiri - 21 hours ago
*Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza na wakuu wa Idara na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kabla ya kupitia taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali wilayani humo* *Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bw.Makelele akizungumza na madiwani na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Chunya.* *Diwani wa Kata ya Mbangala Abrahamu Sambila akitoa neno la shukurani kwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kumaliza nasaha zake kwa watendaji wa halmashauri na madiwani juu ya usimamizi wa fedha za serikali katika miradi ya maendeleo**Baadhi ya wakuu wa I... more »

No comments:

 
 
Blogger Templates