Watu waliohudhuria mkutano wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar wakishangilia. |
Mmoja wa mashabiki wa CCM aliyehudhuria mkutano wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar, akishangilia. |
Baadhi ya wananchi wakiwa wamepanda juu ya jengo kushuhudia kila kilichokuwa kikifanyika kwenye mkutano wa hadhara wa UVCCM uliofanyika Viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar. |
Baadhi ya viongozi wa CCM, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya mjini Zanzibar. |
Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Hamis akihutubia mkutano wa hadhara wa Jumuia hiyo, kwenye Viwanja vya Koamba Wapya mjini Zanzibar. (Picha zote na Bashir Nkoromo). Chanzo:- zanzibar yetu. |
No comments:
Post a Comment