Social Icons

Monday, 25 November 2013

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA MKOANI MBEYA

Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Ipinda Wilayani Kyela.

Meli ya MV Songea iliyowabeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake ikikata ziwa Nyasa Kuelekea Bandari ya Kiwira wilayani Kyela, Mbeya

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dr Asha Rose Migiro akihutubia mkutano wa hadhara Ipinda, Kyela

Katibu wa NEC Siasa na Uenezi Ndugu. Nape Moses Nnauye akihutubia mkutado wa hadhara katika Kata ya Ipinda Wilayani Kyela.

                          Umati wa wa watu waliofurika katika mkutano wa CCM, 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Abdulrahman Kinana, katikati akiwa na mwenyeji wake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi, nyumbani kwa balozi wa nyumba kumi.

     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu, Abdulrahaman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dr. Asha Rose Migiro akiwa na wananchi nyumbani kwa balozi katika kata ya Matema

Mbunge wa Kyela Dr. Harrison Mwakyembe akihutubia mkutano wa hadhara katika kata ya Ipinda

Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu. Bashiru Madodi akiandaa itifaki ya mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM katika bandari ya Kiwira, akiwa pamoja na Mbunge wa Kyela Dr Harrison Mwakyembe na Katibu Siasa na Uenezi wilaya ya Kyela Ndugu. Richard Kilumbu.



No comments:

 
 
Blogger Templates