Katibu Mkuu wa CCM Ndugu, Abdulrahman Kinana akiwa amesimikwa uchifu wa Kinyakyusa na kuitwa Mwakinana katika kata ya Kandete Katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu, Abdulrahaman Mwakinana akiwa na machifu wenzake wa kinyakyusa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutana wa hadhara
Katibu wa NEC Uhusiano wa Kimataifa Dr. Asha Rose Migiro akihutubia mkutano
Mama Asha Rose Migiro akiwa amekalia mkeka maalumu kwa ajili ya akina mama wa Kinyakyusa
Katibu wa NEC Uhusiano wa Kimataifa Dr. Asha Rose Migiro akitoa shukurani kwa akina mama wa Kinyakyusa baada ya kupokea zawadi toka kwao
Umati wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu, Kinana katika Halmashauri ya Busokelo
Mzee Issa Simon akitoa shukurani kwa CCM na Serikali yake kwa kukubali kuanziasha Halmashauri ya Busokelo
Mbunge wa Rungwe Magharibi Prof. David Mwakyusa akiongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Godfrey Zambi akisalimiana na wananchi
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo mhe. Meckson Mwakipunga na Makamu wake Salome Mwakalinga wakimsikiliza Nape Nnauye hayupo pichani wakati akihutubia mkutano
No comments:
Post a Comment