Social Icons

Monday, 2 December 2013

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AFANYA ZIARA JIMBO LA SONGWE, CHUNYA

Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Udinde kata ya Kapalala wilayani Chunya.

Katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana akipokea zawadi kutoka kwa wananchi wa Udinde kata ya Kapalala wilayani Chunya

Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa Dr. Asha Rose Migiro akiongea na wananchi wa Udinde wilayani Chunya.

Mbunge wa Songwe ndugu Philip Mulugo akiongea na wananchi wa Udinde Kata ya Kapalala.
wilayani Chunya

Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akisaidia shughuli za kijamii katikankata ya Kalala wilayani Chunya

Katibu wa NEC Siasa na Uenezi Nape Moses Nnauye akiongea na wananchi wa Udinde wilayani Chunya

Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akiongea na wananchi wa Udinde Wilayani Chunya.

Jamii ya wafugaji waishio katika kata ya Kapalala wilayani Chunya wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana.

                                               Picha na habari na Bashiru Madodi









No comments:

 
 
Blogger Templates