Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akihutubia Mkutano katika mji wa Vwawa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Vwawa Wilayani Mbozi.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro akitoa ufafanuzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM katika mji wa Vwawa Wilayani Mbozi.
Katibu NEC Ushirikiano wa Kimataifa Dr. Asha Rose Migiro akihutubia mkutano wa hadhara
Makamanda wa CCM Makatibu wa Siasa na Uenezi, Nape Nnauye taifa na Bashiru Madodi Mkoa wa Mbeya wakiufuatilia kwa karibu mkutano.
Waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari kutoka kushoto, Salumu Mwinyimkuu, Gryson Msigwa TBC na Saidi Makalla Chanel Ten, wakifuatilia mkutano ili kuwahabarisha wananchi.
Habari na picha na Bashiru Madodi
No comments:
Post a Comment