Social Icons

Tuesday, 20 January 2015

Viongozi wa Simba wapata ajali Lindi




Tuesday, January 20, 2015

VIONGOZI WA SIMBA WAPATA AJALI

  gari la kiongozi wa simba matawi ya temeke lililopata ajali ya kugonga ngombe katika eneo la Mhoro barabara ya kilwa jana picha na Sultan Mkwera

Viongozi wa matawi ya Simba WilayaniTemeke WAPATA 5 wamepata ajali   wakitokea mkoani Mtwara  katika pambano la Simba na Ndanda  mchezo uliochezwa Jumamosi wa ligi kuu ya  vodacom viongozi hao wa matawi wilayani Temeke  walipata ajali ya kugonga ngombe katika eneo la kiwanga barabari  kuu ya Lindi kibaha

gari hilo lililogonga ng'ombe likiendeshwa na dereva Methord Mathew ambaye alikuwa na wenzake jumla ni 5 gari hilo aina ya prado namba za usajili T439 CFT mwandishi wetu aliekuwa huko muhoro amesema gari hilo liligonga ngombe waliokuwa wanavuka barabara na mchungaji bila kuangalia barabarani kitu gani ndipo ajali hiyo ilipotokea katika kujitahidi dereva kufunga breki na kuserereka akagonga ngombe  kadha na  2 walikufa papo hapo na wenginge wamejeruhiwa na kushindwa kutembea kwa mujibu wa mwandishi wetu  ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jioni jumapili huku mchungaji wa mifugo aliesababisha ajali alikimbia na kutoweka na baadae alijitokeza katika kituo cha polisi cha muhoro na kujisalimisha  mwenyewe alitambulika kwa jina moja tu la  Lufunga ambaye anashikiliwa na polisi   viongozi hao wakiongozwa na methord mathew ambaye ndiye dereva gari hilo limeharibika katika bampa la gari kwa mujibu wa mwandishi walirejea Dar essalaam jana  tutawajuza
Via/wwwmzukakamili-mzuka.blogspot.com
Jamvi la Habari Tanzania at 10:57 AM
Share




Home
View web version
Powered by Blogger.

No comments:

 
 
Blogger Templates