Social Icons

Tuesday, 20 January 2015

Barabara ya Majengo- Tanesco katika kata ya Bagamoyo yatengenezwa






Ujenzi wa barabara ya Majengo kwenda Tanesco katika kata ya Bagamoyo mjini Tukuyu ukiendelea kwa kasi. Ujenzi wa barabara hii ambayo ilisahaulika kea miaka mingi imejengwa baada ya wananchi wa mtaa wa Batini kumuomba diwani wao Ndg Bashiru Madodi kuiomba halmashauri ya wilaya ya Rungwe kuifufua barabara hiyo 

Diwani wa kata alifikisha ombi hilo kwenye vikao vya halmashauri ya wilaya  ya Rungwe na barabara hiyo mwaka huu ikatengewa shilingi milioni 36  ambazo zimefanikisha ujenzi wa barabara hiyo.

No comments:

 
 
Blogger Templates