Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira akiwahutubia wananchi katika ufunguzi wa kampeni ya chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory
Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya chama hicho Mbagala, jijini Dar. Picha na Venance Nestory
No comments:
Post a Comment