Social Icons

Friday 6 November 2015

Kwaheri Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Karibu Dkt John Pombe Magufuli

JK akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Janhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Kikwete akipokea saluti kwa mara ya mwisho kama Rais huku wimbo wa Taifa ukipigwa sambamba na mizinga 21.
Rais Kikwete akikagua gwaride la heshima lililojipanga katika muundo wa Omega - yaani mwisho.
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo.
"....Hapa ndipo panapokustahili Mheshimiwa...." Rais Mstaafu wa awamu ya nne anamwambia Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akila kiapo.
Rais mstaafu  na Makamu wake Mstaafu wakiaga rasmi.
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride rasmi likiwa katika muundo wa Alpha kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride rasmi likiwa katika muundo wa Alpha kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitembea kikakamavu bada ya kukagua  gwaride rasmi likiwa katika muundo wa Alpha kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

No comments:

 
 
Blogger Templates