Social Icons

Friday 6 November 2015

Tanzania ya Magufuli imekamilika

 Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Hadija Mwinyi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli
  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mteule Mhe Livingstone Lusinde "Kibajaji". Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

No comments:

 
 
Blogger Templates