Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr Kizza Besigye, alifikishwa mahakamani siku ya Jumatano na kusomewa upya mashitaka ya uhaini, pasipo uwakilishi wa mawakili wake mahakamani.
Kiongozi huyo aliyekuwa chini ya ulinzi mkali alirejeshwa katika gereza la Luzira nchini humo hadi Juni mosi wakati kesi yake itakaposomwa tena. John Mary Mugisha, mwanasheria na wakili wa waziri mkuu wa zamani wa Uganda amezungumza na Sudi Mnette juu y hatua ya Besigye kwenda mahakamani bila wakili.
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman
Chanzo. Dw.de
No comments:
Post a Comment