Social Icons

Tuesday, 19 November 2013

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA MKOA WA MBEYA

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi akifungua kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya, kilichofanyika kwenye ukumbi wa CCM mkoa wa Mbeya

Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Maganga Sengelema akitoa maelezo ya awali wakati wa kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya.

Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya wakiwa katika kikao

Makamisaa wa CCM mkoa wa Mbeya  ambao pia ni wakuu wa Wilaya. Kutoka kushoto Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mkuu Wa Wilaya ya Mbarali na Mkuu wa Wilaya ya Momba.

Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu. Godfrey Zambi akisisitiza jambo katika kikao

Katibu Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akimsikiliza Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa kutoka kushoto, Ndugu Hezron Mwashibanda na Ndugu, Mwangulumbi wakifuatilia kikao


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Ndugu, Godfrey Zambi akisisitiza jambo katika kikao

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya kutoka kulia Bi Suma Fyandoma na Bi. Emmy Masseta.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Mkoa Ndugu. Gordian Mwambasi na Ndugu Athanasi Kapunga

Kamisaa wa CCM ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Abihudi Saideya akichangia hoja katika kikao.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Deodatus Kinawilo akitoa taarifa ya serikali katika kikao cha halmashauri ya CCM Mkoa wa Mbeya.

Meya wa Jiji la Mbeya Mhe. Athanasi Kapunga akijibu swali kuhusu masuala ya jiji katika kikao



                                                  Picha na taarifa na Bashiru Madodi
                                                                Basahama blog















No comments:

 
 
Blogger Templates