Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rungwe Ndugu Ally Mwakalindile akimkaribisha Mkamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Philip Mangula Wilayani Rungwe
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Rungwe wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Philip Mangula
Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Ndugu Mahala akisoma taarifa ya CCM Wilaya kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Philip Mangula.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispin Meela akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2010.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Crispin Meela akimkabidhi Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Ndugu Philip Mangula. taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi.
Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Ndugu Philip Mangula akiongea na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Rungwe.
Makamu Mwenyekiti Wa CCM Taifa Ndugu Philip Mangula akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Bagamoyo Ndugu Ahmad Issah
Makamu Mwenyekiti akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Rungwe.
Picha na habari na
Bashiru Madodi
Basahama blogspot
No comments:
Post a Comment