Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Ndugu Mangula akiongea na wazee wa Wilaya ya Rungwe
Mzee Amon Mwaiswelo (82) toka Kata ya Kyimo, alimueleza Makamu Mwenyekiti CCM Taifa kuwa nchi imepiga maendeleo kwani wakati wa ujana wao gari la abiria toka Mbeya kwenda Itungi Kyela lilikuwa moja tu nalo ni EAST AFRICA RAILWAYS (EAR), ambalo lilikuwa linatoka Mbeya saa 1:00 asubuhi na linafika Tukuyu saa 5:30 asubuhi na kufika Itungi Kyela saa 11:30 jioni na kulala huko huko na kurejea Mbeya kesho yake.
Mzee Amon Mwaiswelo (82) toka Kata ya Kyimo akiongea wakati wa ziara ya Mzee Mangula Wilayani Rungwe
Mzee Amon Mwakifuna akiongea katika mkutano huo na kumkumbusha mzee Mngula jinsi alivyofungwa wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika
Mzee Amon Mwakifuna (87) toka Kata ya Bulyaga
Mzee Andendekisye Mwasambona (72) kutoka Kata ya Ibighi
Mzee Andendile Mwaisyeje toka Kata ya Masebe
Mzee Wilson Mwakasole kutoka Kata ya Bagamoyo.
Picha na habari na
Basahama blogspot
No comments:
Post a Comment