Social Icons

Thursday, 29 January 2015

Rais Kikwete akutana na rais wa Ufaransa jijini Paris

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa
maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28,
2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais
Francois Hollande  katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs
L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo
na  mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois
Hollande. PICHA NA IKULU

TAZAMA SHEREHE ZA UFUNGUAJI WA MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA

 Balozi Begum Taj akikaribisha wageni
 Sehemu ya Umati
 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na watoto wa wanaJumuiya ya Watanzania
 Waziri Membe akisoma muhtasari wa majengo hayo.
 Rais Kikwete akisoma hotuba fupi katika hafla hiyo
  Rais Kikwete akiwa na wageni waalikwa mbalimbali . PICHA NA IKULU.

No comments:

 
 
Blogger Templates