Ofisi ya mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kupitia kitengo cha maliasili na Utalii, wanakuletea safari ya kutembelea ziwa Ngosi.
Washiriki kama Mkuu wa wilaya ya Rungwe, Kamati ya ulinzi na usalama, Mh Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Waheshimiwa madiwani, Ofisi ya mkurugenzi Halmashauri ya Rungwe, kamati ya utalii wilaya na Mkoa, Wildlife conservation society (WCS), Tanzania forest services (TFS) Africa wildlife foundation (AWF) Uyole Cultural Tourism Enterprises (Uyole Cte), waandishi wa habari na wadau mbalimbali.
Ni kwa gharama ya Tsh 7000/= kwa wakazi wa Tukuyu (Rungwe) na Mbeya Tsh 9000/= ikihusisha nauli na kiingilio (Entrance fee) Njia ni ile ya Mchangani siku ya Tarehe 01/10/2016.
Piga simu no: 0766422703/0783545464 Uyole cultural tourism Mbeya. 0758104873 Afisa utalii/0763641150 Afisa Maliasili.
HII SI YA KUKOSA, NYOTE MNAKARIBISHWA. HELP US TO SHARE KADRI UWEZAVYO
No comments:
Post a Comment