Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ni miongoni wa Halmashauri tisa za Mkoa wa Mbeya. Picha chini ni safu ya uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakipiki Mwakasangula
Mkurgenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu Noel Mahyenga.
Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu Valentine Mbai
Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu, Elias Mwita Sangi
Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Eng. Harold W. Sawaki
Afisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Wilaya ya Rungwe Ndugu Godwin Kakiko
Afisa misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu, Castory T. Makeula
Afisa Ustawi wa jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi, Hope H. Kavuli
Mratibu wa kudhibiti Ukimwi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Cde, Tengamitumba
Mululumilwa
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Ndugu, Ason Sentara Nzowa
Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi, Suzan Allen
Tunaandaa taarifa ya maendeleo ya Halmashauri ya wilaya ya Rungwe na changamoto wanazokabiliana nazo, usikose kusoma taarifa hizo katika toleo lijalo la Halmashauri ya Wilaya ya
Rungwe.
No comments:
Post a Comment