Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli (kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,201. Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma
Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetana Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28, 2013.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment