Social Icons

Saturday, 24 August 2013

MUGABE NA ZIMBABWE YAKE

MABANGO YALIYOREMBA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS ROBERT GABRIEL MUGABE UWANJA WA TAIFA HARARE, ZIMBABWE

 Zimbabwe haitokuwa koloni tena
 Mungu Mbariki Rais Mugabe kwa msimamo wake usiotetereka dhidi ya ushoga
SADC, COMEASA na AU walikuja, wakaona na kuthibitisha. Hilo tu ndilo lenye mantiki kwa  Zimbabwe.


Chanzo:- michuzi.blog

No comments:

 
 
Blogger Templates