Mnara wa Uhuru, nyuma yake ni Hotel ya Landmark.
Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Benki ya NBC Tawi la Tukuyu
Jengo la Rungwe Co-operative Union (RUCU)
Moja ya majengo yaliyojengwa enzi za Mkoloni mjini Tukuyu kwa sasa linamilikiwa na Halmashauri
ya Wilaya ya Rungwe
Moja ya mitaa ya siku nyingi katika mji wa Tukuyu, Huu ni mtaa unaoelekea Posta
Kituo cha mabasi cha mjini Tukuyu.
Soko la nafaka la mjini Tukuyu, soko hili lilijengwa na Wajerumani.
Kituo cha magari ya mizigo, katika uwanja wa CCM mjini Tukuyu.
Picha zote na Basahama blog.
1 comment:
safi sana
Post a Comment