ANGALIA PICHA ZA VIJANA WALIOKUWA WAKIPATA MAFUNZO YA UGAIDI MTWARA
WALIPOPELEKWA MAHAKAMANI
Hivi ndivyo hali ya ulinzi ilivyokuwa mjini Mtwara wakati vijana wa mazoezi ya kigaidi walipokuwa wanapelekwa mahakamani, kweli amani ikipotea ndipo utakapojua duniani kuna siraha za kila aina.
No comments:
Post a Comment