Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania ni Waziri wa mfano katika serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete Dr. Mwakyembe amekuwa ni kivutio kwa Watanzania kutokana na utendaji wake wa kazi katika wizara anayoiongoza. Dr. Mwakyembe pia amekuwa ni tunu kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya kutokana na utendaji kazi wake unaouletea heshima mkoa huo.
Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe akienda kula kiapo cha uwaziri Ikulu Dar
Dr. Harrison Mwakyembe katika vita ya kupambana na madawa ya kulevya.
Dr. Mwakyembe katika muendelezo wa vita ya kupambana na madawa ya kulevya.
Dr. Harrison Mwakyembe akiwajibika Bungeni Dodoma
Dr. Harrison Mwakyembe akiongea na vyombo vya habari jijini Dar
Dr. Mwakyembe akiwa ametulia kwa kujiamini kwamba yeye ni Mtanzania halisi
Dr. mwakyembe katika muonekano wa picha tatu tofauti
Mbunge wa jimbo la Lupa Mhe. Victor Mwambalaswa akiwa na Dr. Harrison Mwakyembe.
Mtu makini na mtenda haki utamuona katika sura yake kama anavyoonekana Dr. Mwakyembe.
Habari na Bashiru Madodi
Basahama blog
No comments:
Post a Comment