OFISI YA ELIMU NA UJENZI WILAYA YA RUNGWE IKIWA IMEEZURIA NA UPEPO ULIOAMBATANA NA MVUA |
OFISI YAAFISA MTENDAJI WA KATA YA MSASANI IKIWA IMEANGUKIWA NA MTI |
KULIA KAIMU MKURUGENZI GWABO MWAMSASU AKIWA ANAJIONEA UHARIBIFU ULIOTOKEA BAADA YA MVUA KUBWA ILIYONYESHA MJINI TUKUYU WILAYANI RUNGWE |
JENGO LA HOSPITAL YA WILAYA YA TUKUYU AMBALO SEHEMU LIMEEZURIWA NA UPEPO ULIOAMBATANA NA MVUA KUBWA |
MOJA YA MITI IKIWA IMEANGUKA |
NYAYA ZA UMEME ZIMEANGUA CHINI BAADA YA NGUZO ZA UMEME KUANGUKA |
MITI ILIYOANGUKIA BARABARANI |
![]() |
MOJA YA MASHAMBA YA NDIZI ZIKIWA ZIMEANGUKA |
![]() |
MOJA YA NYUMBA AMBAZO ZIMEEZURIWA DISH |
![]() |
No comments:
Post a Comment