Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala Dar es Salaam, SACP Marietha Minangi, wakati akiwasili Viwanja vya Mahakama Kuu. |
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka kesho saa nane mchana
No comments:
Post a Comment