Wajumbe wa kamati ya mipango uchumi na fedha wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe wakikagua mojawapo wa vituo vya kuchotea maji katika mradi wa maji wa Katabe
Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe. Ezekiel Mwakota ( anayeandika) akipokea maelezo ya mradi wa maji wa Syukula katika halmashauri ya wilaya Rungwe
Matanki pacha ya maji ya miradi ya maji ya Syukula na Katabe
Tanki la maji la mradi wa maji Katabe
Diwani wa Masukulu Mhe. Mwaisupule akikagua tanki la maji la mradi wa maji wa Nkunga
Diwani wa kata ya Bagamoyo Mhe. Bashiru Madodi akiwa mbele ya tenki la maji Nkunga
Wajumbe wa kamati ya fedha wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe wakikagua tenki la maji Nkunga
Jengo la zahanati ya Ntokela linalojengwa kwa nguvu za wananchi
Afisa mipango wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe ndugu Mwakitalu akitoa maelezo ya awali wakati wa ukaguzi wa miradi
No comments:
Post a Comment