Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkutano katika wilaya ya Momba katika mkoa wa Mbeya
Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya akiwahutubia wananchi wa kata ya Igurusi katika wilaya ya Mbarali katika moja ya shughuli za kuimalisha chama
Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi akiwahutubia wakazi wa mji wa Tunduma katika wilaya ya Momba
akiwa katika mkutano Tunduma
Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akiwa na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Mbeya
picha na Basahama blog
No comments:
Post a Comment