Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi ameongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zinazohusu hali ya kisiasa katika mkoa wa Mbeya. Ndugu, Madodi amewasisitizia waandishi wa habari kuwa CCM mkoa wa Mbeya wako imara na wanajipanga kushinda kwa kishindo uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji. Utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Katibu Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya CCM Mkoa wa Mbeya
Habari na Basahama blog
No comments:
Post a Comment