Social Icons

Wednesday, 9 April 2014

Mbio za mapikipiki ya miaka 50 ya Muungano zafana Mkoani Mbeya

O
Bango lenye picha ya ramani ya Tanzania likiwa tayari kukabidhiwa kwa viongozi wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Toka kwa viongozi wa CCM Mkoa wa Rukwa

Bango lenye ujumbe wa miaka 50 ya Muungano wa Tanzania likiwa tayari kukabidhiwa kwa viongozi wa Mkoa wa Mbeya

Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Rukwa akiwa tayari kumkabidhi Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi picha za waasisi wa Taifa la Tanzania Mwl J.K. Nyerere na Sheikh Abeid Karume

Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi akitoa hutuba baada ya kuwapokea waendesha pikipiki kitaifa kutoka Mkoa wa Rukwa katika kijiji cha Mkutano wilayani Momba.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Wilaya ya Momba Ndugu, Jackson akicheza muziki wakati wa mapokezi ya mapikipiki

Msafara wa mbio za mapikipiki ukiwasiri katika mji wa Tunduma

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Momba Ndugu, Juma Mwandusu (katikati) akiwa na Mjumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu, Jackson (kushoto) na Katibu Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi, wakisubili kupokea mbio za mapikipiki kutoka Mkoa wa Rukwa

Vijana wa mji wa Tunduma wakiwa na furaha mbele ya picha za waasisi wa Taifa la Tanzania

Picha na habari na 
Basahama blog

No comments:

 
 
Blogger Templates