| Wakuu wa wilaya |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiweka Ngao na Mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo |
| Mkuu wa kikosi cha 44KJ Mbalizi Luten Kanl Malatila akiweka sime kuwakumbuka mashujaa |
| Meya wa Jiji la Mbeya Atanas Kapunga akiweka upinde na mshale |
Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa |
| Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua |
| Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali walitoa sala zao za kuwakumbuka mashujaa hao |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na Mzee Waya |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na chifu wa mkoa wa Mbeya Chifu Mwashinga |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwsalimia wananchi wa mkoa wa mbeya waliohudhuria tukio hilo la kuwakumbuka mashujaa |
No comments:
Post a Comment