Tanzania yamkumbuka Mwalimu Nyerere
Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999, akiwa Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya damu. Watanzania wanaadhimisha siku yake kwa mapumziko na mikutano yenye lengo la kumuenzi.
Sudi Mnette amezungumza na Mwalimu Azaveli Lwaitama, mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye kwanza anaeleza siku hii inamkumbusha nini.
No comments:
Post a Comment