Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya ndugu. Godfrey Zambi akiwahutubia wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Momba.
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya ndugu. Zongo Lobe Zongo akitoa maelekezo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Songwe.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya akiwahutubia wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM ya Mbeya Mjini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya akiwa na wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mbeya
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya akiwahutubia wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Chunya
Katibu wa Siasa na Uenezi wa mkoa wa Mbeya ndugu Bashiru Madodi akifuatilia kwa makini Moja ya matukio katika ziara ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya katika wilaya ya Songwe.







No comments:
Post a Comment