Social Icons

Tuesday, 11 April 2017

Kasheshe la barabara ya umoja wa mataifa jijini Dar baada ya mvua kunyesha

 Msamalia akiipiga kibega gari iliyokuwa imezimika ghafla kwenye maji yaliyotuama katika Barabara ya Umoja wa Mataifa, Upanga jijini Dar es salaam mchana wa leo. Hali hii imefikia hivyo, kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini.
 Gari ikipafua maji katika Barabara ya Umoja wa Mataifa, Upanga jijini Dar es salaam mchana wa leo.
Hivi ndivyo hali ilivyo katika Barabara ya Umoja wa Mataifa, Upanga jijini Dar es salaam mchana wa leo.


No comments:

 
 
Blogger Templates