Social Icons

Sunday, 25 August 2013

CHAMA CHA MAPINDUZI

CCM YAVUNJA REKODI UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA, JK AZINDUA BARAZA LA WAZEE LA USHAURI

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasili katika viunga vya makao makuu ya chama tawala mjini Dodoma katika sherehe ya uzinduzi wa Baraza la Ushauri la chama hicho

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wazee wa baraza la ushauri 
Katibu Mkuu wa CCCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti  kuzindua Baraza. Kushoto ni wajumbe wa baraza hiyo
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwasha king'ora kuzindua Baraza la Ushauri
 JK, Dk shein, Pinda na Kinana wakiwa na wajumbe wa baraza la ushauri
 Mwenyekiti wa Baraza la wastaafu Alhaj Ali Hassqn Mwinyi akiongoza kikao cha kwanza. Toka kushoto ni Mzee John Malecela na Mhe Amani Abeid Karume. Kulia ni Mzee Benjamin William  Mkapa na Mzee Pius Msekwa  ambaye ni Katibu wa Baraza hilo. Picha na Adam Mzee


No comments:

 
 
Blogger Templates