Social Icons

Sunday, 25 August 2013

HII NDIYO YANGA:

YAIBAMIZA ASHANTI UNITED BAO 5-1

 Wachezaji wa Ashanti United wakisalimiana na wachezaji wa Yanga kabla ya mchezo. 
 Beki wa Ashanti United, Ramadhani Malima akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Hussein Javu, katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1. 
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika ya pamoja.
 Beki wa Ashanti United, Emanuel Kichiba (kushoto), akichuana na kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1.

Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 5-1.


No comments:

 
 
Blogger Templates