Picha chini ni shughuli mbali mbali zilivokuwa zinaendelea katika ukumbi.
Wajumbe wa kundi namba nne ambalo liko chini ya uenyekiti wa Bashiru Madodi likiandika
Majumuisho ya hoja mbali mbali zilizojadiliwa katika kundi
Wajumbe wa Baraza la Katiba wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiingia ukumbini
Profesa Mwesiga Baregu akiwa na mjumbe wa Baraza la Katiba kutoka kata ya Bagamoyo
Ndugu Bashiru Madodi
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakasangula akiwa na
Profesa Mwesiga Baregu
Wajumbe wa Baraza la Katiba wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakipitia nyaraka
wakati wa kikao cha Baraza la Katiba
Picha zote na Bashiru Madodi.
No comments:
Post a Comment