Social Icons

Wednesday, 21 August 2013

Timu ya madereva taxi wa Stend Kuu jijini Mbeya watwaa kombe la Polisi Jamii Jijini Mbeya

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI – ACP AKIWA NA KIKOSI CHA MAFANIKIO YA POLISI MKOA WA MBEYA JULIUSI KAIJAGE WAKIANGALIA MECHI YA FAINALI KATI YA TIMU YA MADEREVA TAX STENDI KUU NA MADEREVA TAX MAFIATI

MARA BAADA YA MECHI KWISHA TIMU ZILIJIPANGA KUPOKEA ZAWADI ZAO



KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI – ACP AKIONGEA WANAMICHEZO KABLA YA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA KOMBE LA POLISI JAMII

MCHEZAJI BORA TOKA TIMU YA MADEREVA TAX IYUNGA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA MPIRA NA KAMADA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI

WASHINDI WA TATU TIMU YA MADEREVA TAX TOKA ILOMBA WAKIKABIDHIWA ZAWADI YAO YA SH LAKI MOJA TOKA KWA MGENI RASMI

MSHINDI WA PILI TIMU YA MADEREVA TAX TOKA MAFIATI AKIKABIDHIWA ZAWADI YA SH LAKI MBILI TOKA KWA MGENI RASMI

MSHINDI WA KWANZA TOKA TIMU YA MADEREVA TAX TOKA STENDI KUU YA MABASI      WAKIKABIDHIWA KOMBE NA PESA TASLIMU YA SH LAKI TATU



   

                                                        Picha zote na Mbeya yetu

No comments:

 
 
Blogger Templates